Ni kweli FOREX imepigwa MARUFUKU Tanzania? | Find Out the Truth

Kuna watu wanaoshindwa kutofautisha kati ya online forex trading na crypocurrency. Nisikilize hadi mwisho utaelewa utofauti wake na kipi kinalengwa kuzuiwa.